Opera 12.00 iko hapa!

Toleo hili jipya la kivinjari Opera linaleta vifurushi vipya vya uboreshaji ili kufanya uzoefu wako wa kuvinjari kuwa haraka zaidi na rahisi!

Na kuanza kwa kasi zaidi na upakiaji wa haraka wa kurasa, Opera 12.00 inakupeleka mtandaoni kwa wakati mzuri. Na, milolongo yetu ya upakiaji wa vitufe vya majibu inamaanisha kuwa unaweza kuwasha au kuzima kwa sekunde chache.

Fanya Opera kuwa yako kwa kifurushi kizima cha mandhari mapya. Badili mwonekano wa kivinjari chako mara kwa mara jinsi utakavyo – kile tu kinachohitajika ni mbofyo mmoja. Hata huhitaji kuanza upya!

Na Opera 12.00, tovuti zako unazopenda sasa zinaweza kutumia webcam ya kompyuta yako ili kufanya iwe rahisi kwako kupiga picha papo hapo na kuzishiriki mtandaoni.

Pamoja na baadhi ya uboreshaji wa injini ya kivinjari, Opera 12.00 inajumuisha burura na angusha ya HTML5, utegemezi wa biti 64, utegemezi wa lugha za kulia-hadi-kushoto na uwezekano mchache wa kukwama.

Tafadhali tembelea Ni nini kipyaa ili kupata taarifa zaidi kuhusu toleo hili jipya.

Bonyeza kiungo hiki ili kupakua Opera 12.00: Opera 12.00